Mgombea wa Ubunge, jimbo la Lushoto kwa ticket ya CHADEMA (Mohamed Mtoi) kafariki dunia katika ajali ya gari aliyopata baada ya kutoka kuzindua Kampeni yake tarafa ya Mlola. Maelezo haya yamethibitishwa na katibu wa chama wilaya Lushoto Kamanda Dulla.
Gari alilopata nalo ajari marehemu
Mungu aiweke roho ya Marehemu Mohamed Mtoi Kanyawana mahali Pema Peponi
3 comments:
R.I.P poleni sana wafiwa na chadema
R.I.P Kamanda! Kazi uliyokuwa ukiipigania haitakwenda Bure. You will be Missed.
Poleni sana stay in peace
Post a Comment