ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 12, 2015

Msiba USA na Tanzania.

Terry na Sunday Shomari wanasikitika kutangaza kifo cha kaka yao mpendwa Mbwana Majjid Shomari kilichotokea jana Ijumaa jijini Dar-es-salaam Tanzania na baadaye kuzikwa nyumbani kwake Mbagala Daressalaam.
Kama ilivyo ada yetu, mnaweza kukutana na wafiwa na kuwapa pole kesho Jumapili kwenye address ifuatayo:
149 Joyceton Terrace
Upper marlboro Md 20774

Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Amen.

No comments: