Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea barua kutoka kwa Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi iliyowasilishwa kwake na Mjumbe maalum Mhe.Eliseu Joachim Machava ambaye pia ni katibu Mkuu wa Chama Cha FRELIMO ikulu jijini Dar es Salaam. Baadaye viongozi hao wawili walifanya mazungumzo(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment