Tunasikitika kuwaarifu kwamba mwenyekiti wetu wa kwanza wa mfuko Mr MichaelMgodo amepatwa na msiba wa baba yake mzazi uliotokea katika hospitali ya Dar Group juzi. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani Tanzania na hapa USA kwa Mr and Mrs Mgodo.
Address yao ni
549 Wildindingo Run,
Westerville, Ohio 43081.
Kwa maelezo Zaidi please wasiliana na Michael Mgodo kwa kupitia number 614 446 5556, Teddy Mgodo 614 772 1591 na mwenyekiti wa sasa ndugu Deo Mwalujuwa kwa number yake ya 614 378 8655.
Kama kawaida yetu tunaombwa tufike nyumbani kwa wafiwa katika kipindi hiki kigumu cha msiba huu.
BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE
No comments:
Post a Comment