ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 12, 2015

WASANII BONGO MOVIE WANOGESHA KAMPENI ZA MGOMBEA MWENZA CCM

Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie wakizungumza na wanaCCM na wananchi katika mkutano wa kampeni za mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu katika mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Azimia Jimbo la Kibaha Vijijini jana mkoani Pwani.

Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akisalimiana na baadhi ya viongozi na wananchi baada ya kuwasili katika eneo la mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Azimia Jimbo la Kibaha Vijijini jana mkoani Pwani jana.
Baadhi ya wananchi na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika kampeni za mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu katika mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Azimia Jimbo la Kibaha Vijijini jana mkoani Pwani.
Mgombea ubunge wa CCM Jimbo la Kibaha Vijijini, akizungumza na wananchi na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika kampeni za mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu katika mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Azimia Jimbo la Kibaha Vijijini jana mkoani Pwani.
Baadhi ya wananchi na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika kampeni za mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu katika mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Azimia Jimbo la Kibaha Vijijini jana mkoani Pwani.
Baadhi ya wananchi na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika kampeni za mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu katika mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Azimia Jimbo la Kibaha Vijijini jana mkoani Pwani.
*Imeandaliwa/www.thehabari.com

12 comments:

Anonymous said...

Kanga na vitenge Hadith madila yatawaponza wanawake Tanzania
Isiuze kura yako kwa ajiri ya kanga au dila
Mchaguwe lowassa mkombozi
Wa wanyonge
Anaijuwa ccm na Kaikimbia ccm
Sofia Simba karibu Ukawa mama

Anonymous said...

Hakika mungu ni mkubwa atatupa jibu mwaka huu, hatutishwi na mavazi yao na uuza sura wao, mabadiliko yatakuja tu kwa nguvu ya mungu

Anonymous said...

Tatitizo la watanzania wengi ni watu wa kudanganywa kwa kanga, vitenge, t-shirt, elfu 500 tano na ahadi za uongo wanazoongopewa kila wakati wanasahau shida na matatizo makubwa yanayoyapata, wajuwe hiki ni kipindi cha mpito kwao wanatakiwa kutumia akili sana sivyo watakuja juta sana

Anonymous said...

kuna wakati unaiba sana, unatumia unjanja kila sehemu, maneno neno mengi wewe ni wewe hakuna mwingine, huwezi kuhukumiwa, huwezi kuadhibiwa, lakini iko siku huamini kile kinachokuja tokea kwako na mbele ya wananchi wako uliozoeya kuwafanya vile utakavyo, Hakikia hukumu wa watanzania inakuja kwako tukutane tarehe 25

Anonymous said...

Jamani mmemuona huyo mbaba mwenye bango la wanawake twaweza? usikute hajui kusoma wala kuandika, Hyo ndyo CCM bwana inatufanya kuwa wajinga tu, ila m nmestuka mabadiliko lazima

Anonymous said...

Asante. Ila kwa kweli na sisi kina mama tusijidanganywe saana. Hivi tujiulizeni kuna nini huyu mgombea wetu mh JPM ameoa na kama ni hivyo mwanamke mwenzetu yuko wapi hata kuonekana kumpa sapoti mumewe ! Yaani kweli sisi tunakurupuka na madela ya kijani huku majukwaani ili akakae kula mayai Ikulu nasi tukiendelea kutimka vumbi na kukwapuliwa vibiashara vyetu na maaskari wa jiji!? Mhh hebu twende mbele na kurudi nyuma. Kesho atasimama wapi kutupa mkono wanawake!? Nadhani tunampa rais bachelor ambapo sio wakati wake!! Kina mama tubadilikeni tusipigwe changa la macho!! Neema iko kuleeh.

Anonymous said...

Na wale wanao vaa jezi za chadema mbina hamuwasemi acheni hizo na wala msi muingize mungu ktk hili,,,, acheni watu wachague wampendae CCM mbovu kweli ila MGUFULI hana kashfa,,,,, mnyonge mnyonge ni ila haki yake mpeni,,,,, Siasa wengi ni ushabiki ila Sera Zero.

Anonymous said...

CCM juu zaidi!

Anonymous said...

Bendera-fuata-upepo wa UKAWA sijui mtajificha wapi fisadi wenu atakapoangukia pua hapo October 25. Aminini nakuambieni, uwezekano wa fisadi wenu kushinda uchaguzi huu ni mdogo sana, kama sio zero. You can quote me on this!

Jay said...

Magufuli anatoa ahadi nyingi za kipuuzi ambazo nyingi kati ya hizo bosi wake wa sasa hata hajatimiza na aliwaahidi watanzania kuwa atayafanya ndani ya miaka 10 yake ya kucheka bila matakwa. Leo anaondoka madarakani bado anacheka wakati hakuna ahadi ya maana aliyoifanya na Magufuli anadai atatekeleza yale ambayo Kikwete kashindwa ama hajamaliza kuyafanya. Hivi wenzangu watanzania nani katuroga? Kumbukeni hawa CCM ni wasanii tu, wanawachezea akili kwa kuwapa ahadi za uwongo huku wakila nchi, sie twabakia na matatizo yale yale ya mwaka 1947. Miaka 54 ya uhuru aulingani na maendeleo yaliyipo nchini mwetu, tusikubali kufilwa tena na CCM, tuchague mapinduzi mwaka huu.

Anonymous said...

Tutachagua mapinduzi ndani ya siyo nje ya CCM

Anonymous said...

Hujitambui! Lowasa na Sumaye wamekuwa wapi na wakifanya nini miaka 38 ya maisha ya CCM?