Wednesday, September 16, 2015

Waziri wa fedha , Bi Saada Mkuya azindua kampeni

Mgombea ubunge jimbo la Welezo, Waziri wa Fedha , Bi Saada mkuya akimwaga sera katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni jimboni. mkutana ulifanyika jana uwanja wa Kimara
Meza kuu ikimsikiliza kwa makini mgombea Ubunge wa jimbo la Weleze Bi Saada Mkuya(hayupo pichani) akijinadi na kumwaga sera. Mkutano huu pia ulihudhuriwa na mgombea uwakilishi wa jimbo hilo la Welezo, Hassan Hafidh (wa pili kulia waliokaa)
Wanachama na wapenzi wa CCM kutoka jimbo la Welezo waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni ya jimbo la Welezo jana huko Uwanja wa Kimara wakimsikiliza kwa makini mgombea ubunge wa jimbo hilo Bi Saada Mkuya Salum
Wanachama na wapenzi wa CCM kutoka jimbo la Welezo waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni ya jimbo la Welezo jana huko Uwanja wa Kimara.
Timu ya kampeni ya mgombea Ubunge wa jimbo la Welezo
Waziri wa Fedha , Bi Saada Mkuya Salum, akimwaga sera katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni jimboni. Mkutano ulifanyika jana uwanja wa Kimara

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake