ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 7, 2015

Wimbo mpya wa UCHAGUZI toka kwa INNOCENT GALINOMA

Kuelekea uchaguzi mkuu nchini Tanzania, watu kupitia fani na kazi mbalimbali wamekuwa wakijaribu kuhamasisha wananchi kushiriki kufanya maamuzi yatakayolipeleka taifa letu mbele.
Innocent Galinoma, ni msanii mkongwe wa Reggae anayefanya kazi zake nchini Tanzania.
Naye ametunga wimbo maalum kwa ajili ya uchaguzi huu mkuu. Akisisitiza kuhusu kusikiliza na kuwahoji wagombea ili kujua fika wanalotaka kutufanyia katika kutatua kero zetu
Karibu usikilize kibao....UCHAGUZI

3 comments:

Anonymous said...

A great song to the Wananchi wa kawaida. The artist is trying to be unbiased. However, those are the real questions a regular mwananchi will ask, where is a good education, where are the good roads, where are jobs, where are good matibabu and good hospitals after more than 54 years under ccm leadership? Wanaona wakubwa na family zao wakipata matibabu nje ya nchi. Je mwananchi wa kawaida ambaye hana ajira atapataje matibabu mazuri?? They have waited for so long for ccm to bring real changes to better their lives. Unfortunately ccm seem to forsakes it's own citizens up until each election campaigns when they come back to preach unreal promises. Wananchi are tired of these fake promises. This doesn't means upinzani wakipita wateleta maendeleo in days/months. It takes time. It's a process. However, at least ccm needs to be removed and let go and look itself in the mirror and may be next time it may come back and do its business in a whole better way. For now ccm needs to go on a 10 year vacation.

Unknown said...

Tatizo ni kupatipakana kiongozi sahihi wakutatuwa matatizo yaliobeba ujumbe wa nyimbo wa msanii Innocent Galinoma. Anatoa mstitizo juu uwajibikaji wa kiongozi juu ya kuyafahamu na kuyapatia ufumbuzi matatizo yanayoikabili nchi na wananchi wake kwa ujumla kwa maana ya kwamba anatoa masisitizo juu ya kupatikana kiongozi msafi atakae acha ubinafsi na kuweka maslahi ya Taifa kwanza. Suala la kujiuliza ni mgombea gani katika vyama vilivyo simamisha wagombea vinamgombea alie safi ? Kwa upande wa ukawa na chadema tumeshafahamu ingali mapema kuwa mgombea wao hafai ni fisadi na hiyo sio kauli ya CCM au ya mtu mwengine yeyote bali ni kauli ya wao wenyewe ukawa na chadema kwamba lowasa ni fisadi wa nchi kwa maana sifa kubwa ya lowasa ni ufisadi. Kwa upande mwengine tunae mgombea anaeitwa John Pombe Magufuli huyu mueshimiwa sifa yake kubwa ni (workaholic) mchapa kazi, hana kashfa za rushwa au ubadhirifu wa mali ya uma , hana mali ambazo haipatikani tabu majibu yake kazipata vipi. Na si mkabila au mgombea ambae ameukumbatia ukanda sasa hapa watanzania mwenye macho haambiwi tizama isipokuwa Magufuli ni chaguo sahihi la kupambana na kutomeza kero zote zinaloikabili taifa.

Anonymous said...

Great BS! Who is CCM? CCM consists of its current and past agents, including Lowasa, Sumaye, Maalim and many other thugs who opportunistically defected to the opposition. Are you counting on those thugs to move the country forward, just because they now go by a different pseudo name? Sorry, think again!