Safi sana jembe ila mvunja nchi ni mwananchi mwenyewe hao wanaopinga ridhaa ya watanzania na kupanga maandamano mungu atawalani na huo uroho wao wa madaraka. Hayo mabadiliko waliyokuwa wakiyahubiri wakati wa campaigns tunayaona sasa ni kuifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi za Africa zenye viongozi wa vyama vya upizani wasioheshimu maamuzi ya wananchi.
Maombi yetu yametimizwa kwani tummepata rais na viongozi wengine tuliowataka. Bwana Mungu wetu asifiwe kwa kusikiliza na kutekeleza maombi ya walio wengi. Kilichobakia sasa ni sisi wote kuungana pamoja na wenzetu ambao tulitofautiana kwa namna moja au nyingine ili tulijenge taifa letu kwa manufaa yetu wote. #Hapa kazi tu na Mungu ibariki Tanzania na utubariki Watanzania wote.
Safi sana jembe ila mvunja nchi ni mwananchi mwenyewe hao wanaopinga ridhaa ya watanzania na kupanga maandamano mungu atawalani na huo uroho wao wa madaraka. Hayo mabadiliko waliyokuwa wakiyahubiri wakati wa campaigns tunayaona sasa ni kuifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi za Africa zenye viongozi wa vyama vya upizani wasioheshimu maamuzi ya wananchi.
ReplyDeleteHapa kazi tu, mabadiliko ya kifisadi mpelekee kinyonga...Tunamshukuru mungu kwa kutupatia hili jembe chapa ya ng'ombe! mungu ibariki Tanzania.
ReplyDeleteMaombi yetu yametimizwa kwani tummepata rais na viongozi wengine tuliowataka. Bwana Mungu wetu asifiwe kwa kusikiliza na kutekeleza maombi ya walio wengi. Kilichobakia sasa ni sisi wote kuungana pamoja na wenzetu ambao tulitofautiana kwa namna moja au nyingine ili tulijenge taifa letu kwa manufaa yetu wote. #Hapa kazi tu na Mungu ibariki Tanzania na utubariki Watanzania wote.
ReplyDelete