Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan wakiwa na Mwenyekiti wa Chama cha UPDP Taifa Mhe. Fahmi Dovutwa katika chumba cha VIP cha ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam muda mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu wa Rais
Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Mwenyekiti wa Chama cha UPDP Taifa Mhe. Fahmi Dovutwa katika chumba cha VIP cha ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam muda mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu wa Rais
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Mhe. Anna Mghwira na wagombea wengine wakiwa katika chumba cha VIP cha ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam muda mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu wa Rais
Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan wakiwa na wagombea wengine wakielekea ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam tayari kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu wa Rais
Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan na Mhe Anna Mghwira na wagombea wengine wakielekea ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam tayari kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu wa Rais

Viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi chini ya Jaji Damia Lubuva wakiwa tayari katika sehemu yao
Meza kuu
Mke wa Rais Mteule Mama Janet Mgufuli akisalimiana na Waziri wakuu wastaafu Mzee John Malecela na Jaji Joseph Sinde Warioba
Mama Janet Magufuli akisalimiana na Mama Salma Kikwete
Rais Kikwete akisalimiana na Mama Janet Magufuli
Mkrugenzi wa Uchaguzi Mhe. Kailima Ramadhani akisoma muhtasari wa ratiba
Meza ya viongozi
Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama
Sehemu ya viongozi wa taasisi mbalimbali na wastaafu
Viongozi wa Taasisi mbalimbali
Viongozi wa Taasisi mbalimbali
Viongozi wa Taasisi mbalimbali
Viongozi wa Taasisi mbalimbali na wananchi waliohudhuria
Viongozi wa Taasisi mbalimbali
Viongozi mbalimbali
Viongozi wa Taasisi mbalimbali
Viongozi wa Taasisi mbalimbali
Viongozi wa Taasisi mbalimbali za umma na binfasi
Viongozi wa asasi mbalimbali za umma na binafsi
Wananchi kutoka sehemu mbalimbali
Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing akiwa ameketi na wananchi
Sehemu ya wananchi na makada wa CCM
Sehemu ya wananchi na makada wa CCM
Sehemu ya wananchi na makada wa CCM
Wanahabari
Sehemu ya watumishi wa Tume ya Uchaguzi
Sehemu ya watumishi wa Tume ya Uchaguzi
Sehemu ya watumishi wa Tume ya Uchaguzi
Wananchi toka sehemu mbalimbali
Wanahabari na wananchi
Wananchi wakiwa na furaha
Wananchi
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akisoma hotuba yake
Wananchi wakimsikiliza Jaji Damina Lubuva
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akisoma hotuba yake
Viongozi wa dini na wananchi wakisikiliza
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akisoma hotuba yake
Vifijo toka kwa viongozi
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akisoma hati kabla ya kuikabidhi wa Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia Suluhu Hassan
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akisoma hati kabla ya kuikabidhi wa Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia Suluhu Hassan. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Mhe. Kailima Ramadhani
Wanahabari wa ndani na nje ya nchi wakirekodi tukio hilo la kihistoria
Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akionesha hai ya Urais akiwa na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan, Jaji Damian Lubuva na Mhe Kailima Ramadhani
Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akionesha hai ya Urais akiwa na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan, Jaji Damian Lubuva na Mhe Kailima Ramadhani
Viongozi wakishuhudia tukio hilo kwa furaha
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Lubuva akisoma hati ya Makamu wa Rais
Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia Suluhu Hassan akipokea hati yake
Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia Suluhu Hassan akionesha hati yake
Rais Mteule na Makamu wake mteule wakipongezwa baada ya kukabidhiwa hati
Rais mteule akipongezwa na waliokuwa wagombea wa Urais wa vyama vingine
Rais Mteule Dkt Magufuli akimuonesha Mhe Anna Mghwira cheti cha Urais
Rais Kikwete akimpongeza Rais Mteule
"...Cheti ndiyo hiki...." anasema Rais Mteule kwa Rais Kikwete
Wakikionesha cheti kwa furaha
"....Huyu ndiye our new boss..." anasema Rais Kikwete
Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli akipita kuonesha cheti chake cha Urais

Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli akipita kuonesha cheti chake cha Urais na kupeana mikono na Rais wa Zamani wa Nigeria Mhe Goodluck Jonathan
Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli akipita kuonesha cheti chake cha Urais kwa mabalozi
Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli akipita kuonesha cheti chake cha Urais
Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia Suluhu Hassan akipongezwa
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Mhe Anna Mghwira akiongea kwa niaba ya wagombea wengine wa vyama mbalimbali walioshiriki kwenye kugombea Urais
Wanahabari
Rais Mteule akimpongeza Mhe Anna Mghwira kwa hotuba nzuri
Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi wa tume na vyama vya siasa
Wateule na Tume ya Taifa ya Uchaguzi
DURA ZA VIBARAKA,NAWAONAKAMA VILE WAPO UCHI.NAJUA BAADA YA TUKIO LILE WALIANDALIWA BAHASHA NENE ZA "ASANTE KWA KUTUUNGA MKONO" HII NDIYO CCM BWANA.FUKO ZITO KWA KILA ANAYESEMA CCM OYEE.
ReplyDeleteJe,uko tayari kutoa ushahidi wa hizo bahasha za CCM ?. Nyie tumeshawazoea,kwakua imekuwa jadi yenu kupinga,kususia kila jambo basi asie kubaliana na matakwa yenu ataitwa kila aina ya majina.msaliti,pandikizi,kibaraka etc.
ReplyDeleteWalichofanya viongozi hawa ndicho kinaitwa "Political Maturity ".
Hakuna democracy huko
ReplyDeleteSasa Ukawa/Chadema mnalo nini tena? R.I.P UKAWA/CHADEMA..you lost all the credibility!.
ReplyDeleterekodi mpya ya wabunge 106 bado wewe ccm unajiona salama?eti r.i.p wewe una akili nzuri?narudia tena upinzani bungeni umeimarika kutoka wabunge wa upinzani 84 hadi kufikia rekodi mpya ya wabunge 106.ukawa imeikamata dar-es-salaam 6:4 imechukua kibamba,ubungo,kawe,kinondoni,temeke na ukonga.tupo pamoja au nimekuacha umeshalala maana umeshachanganyikiwa.nazidi kukupasha ,madiwani walio wengi dar ni wa ukawa, wataziendesha manispaa zote tatu za jiji la dar,mameya watatoka ukawa.hallo uko macho?nakuona umetoa meno kama unatafuna bisi,meza kwanza tuendelee.
ReplyDeleteSi mlisema mkishindwa mtakwenda Hakama ya Kimataifa! Je mnangoja nini kwenda kufungua kesi na kuzidi kujidhalilisha? Tunawatakia kila la heri ila kwa wakati huu CCM itendelea kuwa kiboko yenu mpaka hapo mtakapo tambua kuwa Watanzania ni watu makini na siyo watu wakukejeli au kulaghaiwa kama vile mlivyokuwa mnafikiria. Pole sana.
ReplyDelete