Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Onesmo Olengurumwa akizungumza na wadau mbalimbali wakati wa Mkutano wa Policy Forum walipokuwa wakiongelea Ilani yao na Asasi za Kiraia kutoa mwelekeo na malengo yao makubwa kwa Rais wa awamu ya tano ili kuyapa kipaumbele mambo muhimu ikiwemo Katiba, Usimamizi wa Rasilimali za Nchi na NK. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Mkurugenzi wa Ahadiway Life Development Initiative (NGO) Team James Obedi (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wengine baada ya mkutano huo kumalizika Dar es Salaam alitaka kuwepo kwa Katiba Mpya ambayo itakuwa inatoa muongozo na Dira ya Taifa.
Pia Serikali itunge Sera ya Taifa, kuliko kila Chama kuja na Sera yake na kuwepo na mwendelezo wa upanuzi wa viwanda, vitakavyo saidia kukuza uchumi wa Nchi kwa kizazi kilichopo na kijacho.
Afisa Programu Idara ya Utafiti na Uchambuzi wa Sera. (HAKI ELIMU) Makumba Mwemezi (wa pili kulia) wakishauriana jambo na wadau wakati wa mkutano huo
Afisa Programu Idara ya Utafiti na Uchambuzi wa Sera. (HAKI ELIMU) Makumba Mwemezi (wa pili kulia) akitowa mada katika Mkutano huo
1 comment:
Hawa policy forum mbumbumbu kweli kweli. Sera ya kitaifa badala ya kila chama kuja na sera yake! Really? Sasa uchaguzi wa nini?
Post a Comment