Asante sana ndg mtoa swali au mada. Kwa kifupi huyu mzee apumzike tu na kuwa mshauri wa "SAFARI ZA MATUMAINI" Sababu anaonekana amechoka sana. Kiakili bado anauwezo mkubwa lakini kimwili mhhhh!
Kwanza kabisa mueshimiwa lowasa ni mtu maarufu sana Tanzania na kwa vyovyote itavyokuwa umaarufu wake hakuupatia ukawa au chadema ameupatia CCM, ikiwa umaarufu huo mzuri au m'baya CCM ndio iliyomlea na mafanikio au mapungufu yake yametokana na CCM. Nna imani mueshimiwa lowasa kaifanyia mengi CCM na vile vile CCM itakuwa imemfanyia mengi katika maisha yake. Ushauri wangu kwa muheshimiwa Lowasa ingawaje atakuwa amechelewa lakini ni kuhusiana na uchaguzi na matokeo ya uchaguzi. Kitendo cha mueshimiwa lowasa kukataa na kupinga matokeo ya uchaguzi ni moja ya vitu vinavyomfezehesha na kuzidi kumzalilisha kisiasa na sifa yake ya uzalendo wannchi hii alio ujenga kwa siku nyingi kwani watanzania wengi wanaamini anachokitafuta lowasa sasa hivi ni maslai yake binafsi sio ya nchi tena kwani hakika asiekubali kushindwa si mshindani bali ni shetani. Hasa ukitilia maanani ya kwamba wachunguzi wa ndani na wa kimataifa yakiwemo mashirika makubwa ya utangazaji duniani kama BBC kuukubali na kutamka wazi kuwa ulikuwa huru na wa haki ni vigumu tena kwa chadema na lowasa kuja na hoja zao za kuupinga huo uchaguzi kwani hao watu hawakuambiwa na mtu kuhusu huu uchaguzi wamelijionea kwa macho yao wenyewe. Sasa nchi zetu hizi maskini kwa kiasi kikubwa unategemea zinaendeshwa na nchi zilizoendelea zikikukubali basi unakubalika na zikikukataa basi umekatalika kwa hivyo hatua yoyote ya nguvu itayochukuliwa na ukawa/chadema chini ya uongozi wa lowasa kuendelea kupinga matokeo ya uchaguzi yanachukuliwa na nchi za magharibi kama ni vitendo vya kihuni na uharibifu wa demokasia na kamwe si maandamano si migomo itakayoweza kutengua matokeo sana baada ya kumuapisha raisi mpya serikali itaanza kuwachukilia hatua wale wote wanasabababisha vurugu na wana haki hiyo kwa ajili ya kulinda amani na sheria ni msumeno hakuna kiongozi au mfuasi kwa hivyo tunatoa tahadhari kwa viongozi wa siasa kuiepusha na kuchochea wananchi kufanya vurugu kwa kisingizio cha demokrasia. Demokrasia watanzania walishaamua cha msingi kwa muheshimiwa Lowasa ana nafasi moja ya kumtofautisha kati ya mwanasiasa aliekomaa na wanasiasa machafuko kama akina Mbowe. Nasema tena kama ujumbe huu utamfikia mueshimiwa lowasa ana nafasi moja hadimu ningemuonba aitumie ili kujijengea heshima yake iliyopata mtikisiko baada ya uchaguzi mkuu kumalizika. Nnaimani mueshimiwa lowasa hakuwa na washauri wazuri waliokuwa wakimueleza ukweli bali ana washauri ambao humueleza yale ambayo mueshimiwa lowasa angependa kuyasikia. Kwa hivyo ningependa kuchukuwa nafasi hii ya kumshauri mueshimiwa lowasa kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa raisi mpya ni wakati muafafaka kabisa wa kutoa duku duku lake na kujenga amani kwa watanzania wote kwani mahudhurio yake yatakuwa ni ushindi mkubwa kisiasa kwa muheshimiwa Lowasa wala sio kushindwa kama ambavyo watu wenye maono mafupi wanavyofikiria . Nnaimani CCM itakuwa imempelekea mwaliko aidha yeye mwenyewe binafsi au chama chake ushauri wangu aitikie huo mwaliko kwani katika historia ya mwadamu hakuna sehemu inayoonyesha kwamba mwanadamu alinufaika na hasira. Na mtu mwenye nguvu ni yule anaepigana na hasira zake akazishinda kuliko yule anaepiganishwa na hasira akapata madhara akadhurika.
Ahsante Sana. Mheshimiwa Lowassa napenda kukupongeza sana kwa kazi uliyoifanya wakati wa kampeni za Kugombea kiti cha Uraisi. Watanzania wengi sana wamekuchagua wewe na walikuwa na Imani kubwa sana na wewe, Hasa watu wa Monduli.
Hivyo Muda wako sasa wa kuacha Kumbukumbu ( Legacy ) Katika Jimbo la Monduli nakushauri sana utilie Mkazo Jambo hili kwa kuwaletea Maendeleo watu wa Monduli.
1- Viwanda vya Kutengeneza Vyakula Mbalimbali 2- Nyumba za Kisasa zenye Ubora na bei nafuu 3- Viwanda Vya Nguo hapo hapo Monduli 4- Mashule ya Kisasa , Vyuo vingi vya Ufundi , Hapo hapo ndani ya Monduli 5- Ulinzi wa Kisasa Kwa Wananchi wa Monduli ex. polisi Patrol 6- Umeme kwa nguvu za Jua kila pahali 7- Maji safi na Salama 8- Barabara za kisasa na mengine mengi ambayo utakuwa umewatendea watu wa Monduli . Monduli uwe ni Mji wa Kisasa watu waje hata kufanya shopping na Kushuhudia Madhali yake
jamani achene ushabiki wa vyama hapa naona watu wengi wanamdhiaki kwa kupora kura huyu EL angekuwa US ama UK angekuwa anaapishwa kesho lakini kwa TZ ni ngumu sana ona kinachotokea znz aibu tu.namshauri avute subira aingize majeshi kikamilifu 2020 na kuhakikisha madudu yote yanaangamizwa kabla la kuanza kampeni atashinda tu sidhani magufuli atafanya lolote kwa miaka 5, ni ngumu sana kwa serikali ya sisiemu kumwachia awe kiongozi bora kwa manufaa ya waTZ wote.
It is time to get out of active politics.
ReplyDeleteApumzike na kuangalia zaidi afya yake.
ReplyDeletePia awe mshauri wa mambo ya kisiasa.
Asante sana ndg mtoa swali au mada. Kwa kifupi huyu mzee apumzike tu na kuwa mshauri wa "SAFARI ZA MATUMAINI" Sababu anaonekana amechoka sana. Kiakili bado anauwezo mkubwa lakini kimwili mhhhh!
ReplyDeleteThree things:
ReplyDelete1. Money ain't everything!
2. Integrity and ethical values have no substitute!
3. If you cannot defeat them join them forces!
Kwanza kabisa mueshimiwa lowasa ni mtu maarufu sana Tanzania na kwa vyovyote itavyokuwa umaarufu wake hakuupatia ukawa au chadema ameupatia CCM, ikiwa umaarufu huo mzuri au m'baya CCM ndio iliyomlea na mafanikio au mapungufu yake yametokana na CCM. Nna imani mueshimiwa lowasa kaifanyia mengi CCM na vile vile CCM itakuwa imemfanyia mengi katika maisha yake. Ushauri wangu kwa muheshimiwa Lowasa ingawaje atakuwa amechelewa lakini ni kuhusiana na uchaguzi na matokeo ya uchaguzi. Kitendo cha mueshimiwa lowasa kukataa na kupinga matokeo ya uchaguzi ni moja ya vitu vinavyomfezehesha na kuzidi kumzalilisha kisiasa na sifa yake ya uzalendo wannchi hii alio ujenga kwa siku nyingi kwani watanzania wengi wanaamini anachokitafuta lowasa sasa hivi ni maslai yake binafsi sio ya nchi tena kwani hakika asiekubali kushindwa si mshindani bali ni shetani. Hasa ukitilia maanani ya kwamba wachunguzi wa ndani na wa kimataifa yakiwemo mashirika makubwa ya utangazaji duniani kama BBC kuukubali na kutamka wazi kuwa ulikuwa huru na wa haki ni vigumu tena kwa chadema na lowasa kuja na hoja zao za kuupinga huo uchaguzi kwani hao watu hawakuambiwa na mtu kuhusu huu uchaguzi wamelijionea kwa macho yao wenyewe. Sasa nchi zetu hizi maskini kwa kiasi kikubwa unategemea zinaendeshwa na nchi zilizoendelea zikikukubali basi unakubalika na zikikukataa basi umekatalika kwa hivyo hatua yoyote ya nguvu itayochukuliwa na ukawa/chadema chini ya uongozi wa lowasa kuendelea kupinga matokeo ya uchaguzi yanachukuliwa na nchi za magharibi kama ni vitendo vya kihuni na uharibifu wa demokasia na kamwe si maandamano si migomo itakayoweza kutengua matokeo sana baada ya kumuapisha raisi mpya serikali itaanza kuwachukilia hatua wale wote wanasabababisha vurugu na wana haki hiyo kwa ajili ya kulinda amani na sheria ni msumeno hakuna kiongozi au mfuasi kwa hivyo tunatoa tahadhari kwa viongozi wa siasa kuiepusha na kuchochea wananchi kufanya vurugu kwa kisingizio cha demokrasia. Demokrasia watanzania walishaamua cha msingi kwa muheshimiwa Lowasa ana nafasi moja ya kumtofautisha kati ya mwanasiasa aliekomaa na wanasiasa machafuko kama akina Mbowe. Nasema tena kama ujumbe huu utamfikia mueshimiwa lowasa ana nafasi moja hadimu ningemuonba aitumie ili kujijengea heshima yake iliyopata mtikisiko baada ya uchaguzi mkuu kumalizika. Nnaimani mueshimiwa lowasa hakuwa na washauri wazuri waliokuwa wakimueleza ukweli bali ana washauri ambao humueleza yale ambayo mueshimiwa lowasa angependa kuyasikia. Kwa hivyo ningependa kuchukuwa nafasi hii ya kumshauri mueshimiwa lowasa kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa raisi mpya ni wakati muafafaka kabisa wa kutoa duku duku lake na kujenga amani kwa watanzania wote kwani mahudhurio yake yatakuwa ni ushindi mkubwa kisiasa kwa muheshimiwa Lowasa wala sio kushindwa kama ambavyo watu wenye maono mafupi wanavyofikiria . Nnaimani CCM itakuwa imempelekea mwaliko aidha yeye mwenyewe binafsi au chama chake ushauri wangu aitikie huo mwaliko kwani katika historia ya mwadamu hakuna sehemu inayoonyesha kwamba mwanadamu alinufaika na hasira. Na mtu mwenye nguvu ni yule anaepigana na hasira zake akazishinda kuliko yule anaepiganishwa na hasira akapata madhara akadhurika.
ReplyDeleteAhsante Sana.
ReplyDeleteMheshimiwa Lowassa napenda kukupongeza sana kwa kazi uliyoifanya wakati wa kampeni za Kugombea kiti cha Uraisi.
Watanzania wengi sana wamekuchagua wewe na walikuwa na Imani kubwa sana na wewe, Hasa watu wa Monduli.
Hivyo Muda wako sasa wa kuacha Kumbukumbu ( Legacy ) Katika Jimbo la Monduli nakushauri sana utilie Mkazo Jambo hili kwa kuwaletea Maendeleo watu wa Monduli.
1- Viwanda vya Kutengeneza Vyakula Mbalimbali
2- Nyumba za Kisasa zenye Ubora na bei nafuu
3- Viwanda Vya Nguo hapo hapo Monduli
4- Mashule ya Kisasa , Vyuo vingi vya Ufundi , Hapo hapo ndani ya Monduli
5- Ulinzi wa Kisasa Kwa Wananchi wa Monduli ex. polisi Patrol
6- Umeme kwa nguvu za Jua kila pahali
7- Maji safi na Salama
8- Barabara za kisasa
na mengine mengi ambayo utakuwa umewatendea watu wa Monduli .
Monduli uwe ni Mji wa Kisasa watu waje hata kufanya shopping na Kushuhudia Madhali yake
Mungu Akubariki
An incredible wishful thinking from a lunatic fanatic!!!
Deletejamani achene ushabiki wa vyama hapa naona watu wengi wanamdhiaki kwa kupora kura huyu EL angekuwa US ama UK angekuwa anaapishwa kesho lakini kwa TZ ni ngumu sana ona kinachotokea znz aibu tu.namshauri avute subira aingize majeshi kikamilifu 2020 na kuhakikisha madudu yote yanaangamizwa kabla la kuanza kampeni atashinda tu sidhani magufuli atafanya lolote kwa miaka 5, ni ngumu sana kwa serikali ya sisiemu kumwachia awe kiongozi bora kwa manufaa ya waTZ wote.
ReplyDeletePumba juu ya pumba!!!
Delete