Hayo ya kusema miaka 58 siyo makosa makubwa, angesema tumepata uhuru mwaka 1957 hapo angekosea, lakini sidhani kama hilo ni kosa kubwa. Mtikila alisema nchi ina watu million 58 lakini hatusemi ila angesema Lowassa watu wanapiga kelele. Hayo siyo makosa makubwa kama ya yule waziri wa Kikwete aliyesema Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe. Wakati mwingine ulimi hua unateleza, kwa mfano hapo alitaka kusema miaka 54 (kama anavyosema siku zote) lakini ulimi ukateleza. Sioni cha ajabu hapo, mbona JK anakosea vitu vingi hata ambavyo vipo wazi kabisa hamsemi???

ReplyDelete