Wednesday, November 25, 2015

Mbunge wa CCM aliyezikataa Milioni 200 - Elibariki Kingu

2 comments:

  1. NAKUPONGEZA SANA KAKA KWA MOYO WAKO. NI WATU WACHACHE SANA WANAOWEZA KUJALI MASLAHI YA WATU WANYONGE, WENGI WA HAO WANAOINGIA BUNGENI WAPO HAPO KWA AJILI YA MASLAHI YAO ZAIDI NA SI KUWAWAKILISHA WANANCHI WENGINE KAMA INAVYOTAKIWA. SIKUTEGEMEA KAMA NCHI YETU INA WATU WALIO NA ROHO CHAFU WASIOJALI NA WANAOPENDA WATANZANIA WAENDELEE KUWA MASKINI....KAMA ALIVYOSEMA RAIS MAGUFULI KUNA WAFANYAKAZI WANAOLIPWA NA SERIKALI (PESA ZA WALIPA KODI) WANAOFANYA MAKUSUDI KUFUNGULIA MAJI YAPOTEE KWENYE MABWAWA YA UMEME ILI NCHI IWE GIZA WAWEZE KUUZA MAJENERETA YAO AU WANAHONGWA NA MATAJIRI WASIOJALI MAISHA YA WATANZANIA WAFUNGULIE MAJI YAPOTEE, KUNA MIFANO MINGI TU, WANAFUNZI WANALIPA PESA ZA MADAWATI KWA MIAKA NA MIAKA LAKINI HAKUNA MADAWATI YANAYONUNULIWA, PESA ZINALIWA NA WAHUNI. NAKUPONGEZA SANA BW.E KINGU KWA MOYO WAKO WA UPENDO KWA KUWAJALI WATANZANIA, MUNGU AKUBARIKI SANA. V

    ReplyDelete
  2. HAPO BUNGENI NA MIREMBE NI PUA NA MDOMO. MBUNGE KINGU AJISALIMISHE KUPIMWA AKILI,SHETANI WAKE HAPENDI PESA NA MARUHANI WAKE VIZA. SASA ANAPENDA NINI?ISIJE IKAWA HUYU BWANA AMESHIKWA MNO NA NGUVU ZA GIZA NA MKAANZA KUMSHUHUDIA ANAANZA KUINGIA BUNGENI KIMGONGO-MGONGO.AKILI ZA USAHIHI HANA KINGU.SINGIDA KUNA SHIDA KUBWA YA MAJI KWA NINI ASIZICHUKUE PESA HIZO AKAZIELEKEZA KWA WAKALA WA SERIKALI WA KUCHIMBA VISIMA.KWA MILLION 200 ANAZOZIKATAA BUNGENI ANGALAU VIJIJI VIWILI VYA JIMBO LAKE WANGENUFAIKA NA VISIMA VIWILI VIREFU. NARUDIA VISIMA VIWILI TUU.KINGU JIMBO LAKO LINA JUMLA YA VIJIJI VINGAPI VYENYE SHIDA YA MAJI?RUDI DUNIANI.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake