Thursday, November 26, 2015

MBUNGE WA CHUMBUNI ZANZIBAR MHE USSI SALUM PONDEZA AMJAD AKIWASHUKURU WAPIGA KURA WAKE WANANCHI WA JIMBO LA CHUMBUNI KATIKA UKUMBI ZA AFISI ZA JIMBO MUEMBEMAKUMBI ZANZIBAR.

Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe Ussi Salum Pondeza AMJAD akiwasalimia Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakati wa mkutano wake wa kutowa shukrani kwa Wapiga kura wake mkutano uliofganyika katika Afisi za Jimbo Tawi la CCM Muembemakumbi Zanzibar.

Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe Ussi Salum Pondeza AMJAD akiwahutubia Wananchi wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar wakati wa mkutano wake wa kutowa shukrani kwa Wananchi wa Jimbo hilo kwa kumchagua kuwa Mbunge wao na kuwataka kuwa wamoja na kujiandaa na maendekleo katika jimbo lake.
 Na kusema sasa makundi basi iliobaki ni Kazi Tu kwa maendeleo ya Wananchi wa Jimbo hilo na kusema yeye ni Mbunge wa Wananchi wa Chumbuni wote 
Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakimsikiliza Mbunge wao wakati wa hafla ya kuwashukuru 
Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakimsikiliza Mbunge wao wakati akitowa shukrani kwa wapiga kura wake katika mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya Jimbo Tawi la CCM Muembemakumbi Zanzibar. 

Mwenyekiti wa Jimbo la Chumbuni Ndg Haji Ngwali akizungumza na Wananchi wa jimbo hilo wakatio wa hafla ya Mbunge wao kutowa shukrani kwea wapiga kura wake.
Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar, Mhe Ussi Salum Pondeza AMJAD akiwa katika picha ya pamoja na Wagombea Uwakilishi na Udiwani wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar
Viongozi wa Jimbo la Chumbuni wakiwa katika picha ya pamoja na Mbunge wao baada ya hafla ya kuwashukuru Wapiga kura wake katika Ukumbi wa Afisi za Jimbo la Chumbuni Zanzibar.
Baadhi ya Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakiwa katika picha ya pamoja na Mbunge wao.
Viongozi wa Wanawake wa Jimbo la Chumbuni wakiwa katika picha ya pamoja na Mbunge wao Mhe Ussi Salum Pondeza,  AMJAD wakati wa hafla ya kuwashukuru wapiga kura wake hafla iliofanyika katika ukumbi wa Afisi za Jimbo Muembemakumbi Zanzibar.
Mhe Mbunge na Mgombea  Ussi Salum Pondeza AMJAD na Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Chumbuni Miraji Kwaza wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar
Mbunge wa Chumbuni akiwa na Vijana wa Jimbo lake na Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Miraji Kwaza.
Mbunge wa Jimbu la Chumbuni akiwa na wapiga Kura wake wac Jimbo la Chumbuni Zanzibar wakati wa hafla la kuwashukuru wapiga kura wake, alipowasili askitokea Dodoma  
Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar akiwa katika picha ya kumbukumbu na familia yake wakati wa hafla ya kuwashukuru wapiga kura wake wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar, iliofanyika katika Ukumbi wa Afisi ya Jimbo Tawi la CCM Muembemakumbi Zanzibar.
Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe Ussi Salum Pondeza AMJAD akisalimiana na mpiga kura wake Msanii maarufu Zanzibar Profesa Halikuniki wakati akiwashukuru wapiga kura wake katika Afisi za Jimbo la Chumbuni Zanzibar.

Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot 
Zanzinews.com.
Email othmanmaulid@gmail.com 

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake