Msomaji na mdau wa mtandao wako wa habari www.modewjiblog.com unakupa nafasi wewe kumuuliza maswali/swali lolote lile Afisa Mtendaji Mkuu wa MeTL Group, Mohammed Dewji. Maswali yote yatajibiwa na kutolewa ufafanuzi wa kina. Tutakuwa na mahojiano naye karibuni. Asanteni sana.
Utaratibu wa kumuuliza maswali ni kwa kukomenti kwenye post hii kisanduku cha maoni, Zingatia Kanuni na sheria ikiwemo kutotumia lugha zisizo rasmi.
Pia waweza kutoa maoni yako kupitia kurasa za mitandao ya kijamii ukiwemo ukurasa wa Mohammed Dewji : https://www.facebook.com/mohammeddewjitz/
au Ukurasa wa Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL):https://www.facebook.com/MeTLGroup/photos
I highly respect Mo. Swali langu ni kuhusu msaada wake katika huduma za afya hasa msaada wake mkuu alioutoa kuwafikishia watu maji katika sehemu zenye ukavu.
ReplyDeleteJe huo msaada na hivyo visima bado vipo?
Maji katika matunzo ya afya ya mama na mtoto ni mahitaji number one. My daughter and I would like to get in contact with him directly. In connection with GTUniversity. Binti yuko George Town Washington DC. Mimi nilifanya kazi Singida naelewa matatizo ya maji.
Swali la kwanza; makampuni yake yanalipa kodi kamili? Yupo tayari kuweka hadharani mahesabu yake kwa uvhunguzi zaidi?
ReplyDelete