Sunday, November 1, 2015

TANGAZO KWA WASAMALIA WEMA: MTOTO CAREEN ANAHITAJI MSAADA

Mtoto Careen Modest Kassuw pichani, ana umri wa mwaka mmoja, amezaliwa ana tatizo la Moyo ukiwa na matundu mawili na valvu zake nyembamba  zimebana kiasi  hivyo analazimika kusafirishwa kwenda India kwa matibabu.

Wazazi wa mtoto huyo wanaomba msaada wako wewe Mtanzania kwa atakayeguswa ili wafanikishe gharama za matibabu ya mtoto Careen ambayo ni Shilingi Milioni 30 zinahitajika ili kuokoa maisha yake.
Ewe Mtanzania, ewe mzazi tunaomba mchango wako wa hali na mali, kwa atakayeguswa tunaomba utume mchango wako kwa mama mzazi wa mtoto huyo Eunice kwa namba0713 034866 au kwa namba 0715 083055
Mungu awabariki wote mtakaochangia kwa njia moja au nyingine.

1 comment:

  1. jamani mtoto anateseka sana ukimuona tu lakini MUNGU yu pamoja naye atamsimamia katika kila jambo na hali na ataenda salama pia atarudi salama kabisa akiwa amepona amina

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake