Team Tanzania ya Washington state watwaa ubingwa baada ya kuwafunga mahasimu wao Seattle Juventius 3-2. Mchezo huo ulihudhuriwa na mataifa mbalimbali kutoka bara la Afrika. Pia wachezaji wetu wawili wamechukua mfungaji bora (Balotelli) na MVP (Anelka). Hongera Team Tanzania chini ya Meneja / kocha Jimmy Mkudde kwa kuendelea kuipeperusha vyema bendera yetu.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake