Tuesday, November 3, 2015

Uchaguzi haukuwa huru na haki: ULINGO- Tanzania

1 comment:

  1. Uchaguzi haukuwa huru na haki kwa sababu ukawa chadema na lowasa wameshindwa uchaguzi ni vichekesho vya dunia mtaweweseka sana. Kama wanawake walikuwa hawapewi nafasi ya kuzungumza katika majukwaa ya mikutano ya kisiasa wakati wa kampeni sio kwa CCM . Makamo wa raisi wa CCM ni mwanamke na alikuwa na mikutano yake binafsi na yeye kama msemaji mkuu. Sasa sijui hao wanajiita ulingo wanachokizungumza kitu gani? Dhahiri ni taasisi fisadi ilioandaliwa na kina Lowasa kutoa taarifa potofu kwa umma ili kuhalalisha uvunjifu wa sheria wanaokusudia kufanya nchini kwani baada ya ukawa kugonga mwamba katika jumuiya za kimataifa sasa wanazihonga taasisi za ndani kuwasemea upuuzi wao. Uchaguzi umekwisha wenye kuendelea na kampeni waache waendelee , CCM hapa kazi tu.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake