Monday, November 23, 2015

WANACHAMA WA CHADEMA WAFURIKA MAHAKAMA KUU MWANZA KUSIKILZA KESI YA MAWAZO

CHADEMA ikiungana na familia ya marehemu ilifikia uamuzi wa kulifikisha swala hilo Mahakamani ili kupatiwa ufumbuzi juu ya maamuzi hayo ya jeshi la polisi. Kesi ambayo iliyowasilishwa leo kwa hati ya dharura katika Mahaka kuu ya jijini Mwanza
Wanachama wa CHADEMA jijini Mwanza waliofurika kuja kusikiliza hukumu juu ya kesi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo aliyeuwawa kikatili kwa kukatwakatwa na mapanga, Huku jeshi la polisi Mkoa wa Mwanza kuzuia mwili wa marehemu kuagwa hapa mwanza kwa kisingizio cha kusema wanazuia mikusanyiko kutokana na hali ya ugonjwa wamlipuko wa kipindupindi iliyopo jijini hapa.

1 comment:

  1. hawa hawana za kufanya!!!! ndio wavivu wenyewe badala ya kujenga taifa mnaennda kuungana na wahuni kugombea maiti ambayo hata hamumjui mtu. achene upuuzi fungukeni macho.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake