Her very own lipstick brand inaitwa “Kiss” signature lipstick..pamoja na lipgloss yake pia
November 1st ilikuwa ni “Royal Birthday Party” ya Tanzania’s sweetheart Wema Abrahim Sepetu..watu walialikwa for dinner and drinks at LAPF Building Millenium towers. People that were invited walivaa white which was the dress code ya hiyo royal birthday..na ilikuwa royal kweli.
Champagne time..
CHEERS..
Birthday girl akiwa na kaka manager Martin Kadinda pamoja na Mc Vjpenny..ukumbi ulipendeza na hizo decorations za pink and white.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake