ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 14, 2016

HAPPY VALENTINE

Nassoro Baslama na mama mwenye nyumba wake

Kila siku niamkapo kitu cha kwanza ni kuangalia sura yako na kmshukuru mwenyezi Mungu kwa kukuleta kwangu ni wewe ndio pumzi ya maisha yangu, rafiki yangu namba moja bila wewe maisha yangu si lolote hapa Duniani, nakupenda sana mpenzi wangu nakutakia kheri ya siku ya wapendanao.

No comments: