ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 13, 2016

MAJALIWA AFUNGA MAFUNZO YA WATENDAJI WAKUU WA KIJESHI NA KIRAIA

mf2
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza wakati alipofunga mafunzo ya pili ya watendaji wakuu waandamizi na wakuu wa kiraia na kijeshi kwenye Chuo cha Kijeshi Kunduchi jijini Dar es salaam Februari 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
mf3
Washiriki wa mafunzo ya pili ya watendaji wakuu waandamizi na wakuu wa kiraia na kijeshi wakGimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majliwa wakati alipofunga mafunzo hayo kwenye Chuo cha Kijeshi Kunduchi jijini Dar es salaam Februari 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
mf5
Waziri Mkuu, Kasim Majliwa akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo ya pili ya watendaji wakuu waandamizi na wakuu wa kiraia na kijeshi baada ya kufunga mafunzo hayo kwenye Chuo cha Kijeshi Kunduchi jijini Dar es salaam Februari 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: