Meneja Mkuu wa Mgodi wa Bulyanhulu Graham Crew akikabidhi hundi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Msalala Patrick Karangwa, ikishuhudiwa na Mkuu wa wilaya ya Kahama Vita Kawawa(katikati)
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Kahama wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutembelea mgodi wa Bulyanhulu
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Vita Kawawa akizungumza wakati wa ziara yake katika mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu ambapo amesisitiza kuwa kodi ya ushuru wa huduma iliyotolewa na Mgodi wa Bulyanhulu itumike vizuri kujenga miundombinu ambayo wananchi wataiona kwa macho
Afisa Maendeleo na Mahusiano wa mgodi wa Bulyahulu ,Sara Teri akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Kahama Vita Kawawa,kushoto kwake ni Mshauri wa Mahusiano ya Kampuni ya Acacia na Serikali , Alex Lugendo.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Vita Kawawa (Kushoto) akielekea katika eneo la mgodi wa chini ya ardhi Bulyanhulu.
Mkuu wa wilaya ya kahama Vita Kawawa na ujumbe wake pamoja na mshauri wa mahusiano ya kampuni na serikali wa Acacia aliyesimama katikati mwenye shati ya bluu Alex Lugendo wakiwa katika picha ya pamoja.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Vita Kawawa Akiwa chini ya archi kilomita moja kutoka uso wa dunia akiwapongeza wafanyakazi wazawa katika mgodi wa Bulyanhulu kwa kufanya kazi ambazo zamani watanzania walikuwa hawawezi, kazi ya kufanya kazi kwa mitambo ya kisasa ya inayojulikana kama Jumbo na mashine zingine za teknolojia ya kisasa zinazotumika katika kuchimba dhahabu kwenye mgodi mkubwa wa dhahabu nchini Bulyanhulu.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Vita Kawawa Akiwa anatoka kwenye lifti kutokea chini ya ardhi baada ya kutembelea mgodi wa dhahabu chini ya ardhi.
Kaimu Meneja wa Uchimbaji katika Mgodi wa Bulyanhulu Salvatory Tesha
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Bulyanhulu Bw.Graham Crew akifafanua jambo kwa mkuu wa Wilaya ya Kahama Vita Kawawa.
Meneja wa Ufanisi wa Kampuni katika Mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu Elias Kasitila akimuonyesha ramani ya uchimbaji mkuu wa Wilaya ya Kahama na ujumbe wake
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Vita Kawawa amemwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Msalala kuwa fedha zitumike vizuri katika miradi inayoonekana.
“sitaki masuala ya kusema unajua pesa tuliitumia katika kuweka kifusi barabarani na sasa mvua imekiosha, hapana, hilo litakuwa ni jipu linatakiwa kutumbuliwa, fedha hizi zitumike kujenga miradi inayoonekana kama vila vyumba vya madarasa, zahanati nakadhalika.”
3 comments:
wadanganyika wazanzibari mlioko huko marekani mmemsikai Donald trump alivyosema huko Nebraska katika miji yenu.kwamba ni lazima waafrica watawaliwe tena kiuloloni. je mnalo au ndo mnajiserebua na maboksi yenu na kujiona wa maana.
hapa tz pia kila leo miradi yetu wanasimamia wazungu what a shame tusubiri kutawaliwa tena kiukoloni kama bado hatujatawaliwa.nahisi ndo tumeshataaaliwa zamani sema hatujashtuka tuu.what a shame ni aibu aibu.
PUMBAVU WEWE ANONY. WA 5:59 PM. AKILI YAKO NI SAWA NA HUYU TRUMP UNAYEMSIFIA. HUJUI KUWA ASILIMIA KUBWA YA WAMAREKANI WENYE USTAARABU HAWAMPENDI HUYU TRUMP? ANAWEZA KUSEMA LOLOTE (GARBAGE) LAKINI WASOMI WENGI HAWANA MUDA WA KUZISIKILIZA AU KUZIJALI KAULI ZAKE. PIA KWA UFAHAMISHO MDAU, KATIKA DUNIA YA LEO (GLOBALIZATION) KILA NCHI INAFANYA BIASHARA NA NCHI NYINGINE (TRADES AND INVESTMENTS). MFANO; KUJAZANA KWA WACHINA BONGO SIYO UKOLONI. WAPO HATA HAPA MAREKANI WANAENDESHA MAKAMPUNI, NA HIVYO HAIMAANISHI KUWA WANAWATAWALA WAMAREKANI. TAFADHALI MDAU JARIBU KUELEMIKA KIDOGO, USIWE NA AKILI FINYU.
wewe mdau wa at 2:23 kwanza kabla ya kujibu comment ujifunze kutype kwa herufi ndogo;you so called educated hapo mbona kwa jambo dogo umefeli. halafu jazba ya nini,mtoto wa kiume wewe au wakike.unamhemuko wa nini.kujifanya msomi kumbe pumba tupu.eti trades and investment.mimi naweza kukufunza wewe na kizazi chako chote hiyo trade investment.usijifanye kuja katika blog ya dj lukes na kufoka foka kama mwanamke mja mzito karibu kujifungu mwenye uchungu mkali.
wamerekani wangekuwa hawampendi huyo trump mbona amachaguliwa na chama chake. unajua sauti ya nani trump anawasemea.kama hujui ni wale wazungu ambo hawakupendeni nyinyi miafrica mliopo huku na kujipendekeza kwao.wewe usione watu hawako huko wako bongo ndo hawajaelimika wewe uliye kalia mkia ukajifanya msomi na mwenye kuelimika.
eti wamarekani wana ustaarabu wangekuwa wanawauwa weusi ovyo hivyo subiri na wewe ukileta zako wakufetue.
pumba kabisa bwabwa bwabwa.usidhani watu hatujui kutukana sema tuna ustaarabu sana na tumelelewa na wazazi wawili sio wewe na single parent ndo maana unapayuka humu kwenye blog ya dj luke.
trump akiwa raisi atakufukuza huko ulipo utaisoma number kujifanya msomi mchwara mchwara wewe huna usomi wowote wala huna jipya. kiazi wewe bure kabisa.
dj nirushiye hii comment please.apate ujumbe huyu bwabwa bwabwa.midobido.
Post a Comment