ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 13, 2016

TAZAMA HAPA HOTUBA YA MHE RAIS ALIYOWAHUTUBIA WAZEE WA DAR ES SALAAM FEBRUARI 13, 2016

2 comments:

Anonymous said...

jamani kweli Mungu amesikia kilio cha Tanzania kutokana na umasikini unaoletwa na watu wachache na nchi yetu ni tajiri haswa na tumependelewa.

Anonymous said...

Ushauri WA bure fukuza wasaidizi wako waliokukataza kwenda kuona wodi ya wazazi Mhimbili
Kumbe wanajuwa uozo mwingi hawasemi
Sasa tukitaka kukupata tukupe taarifa tutumie Nani tunawaogopa wasaidizi wako si wakweli