Tuesday, March 8, 2016

VIDEO: MSAADA KWA NDUGU YETU AHMED ALBAITY UNAHITAJIKA

albety
Ukiwa ndugu, jamaa na rafiki, bado mchango wako wa hali na mali unahitajika kwa ajili ya ndugu na mpendwa wetu, Ahmed Albaity (pichani) ilikuweza kuendelea na hali yake ya matibabu. Waweza kuhabarika zaidi kupitia taarifa hii ya video hapa chini. Karibuni sana.

1 comment:

  1. Pole aahmed, Luke naomba uiandike hiyo namba yake ya simu tuweze kui copy vizuri.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake