Tayari kuna uwanja wa Julius nyerere airport,vile vile kuna Benjamin Mkapa Stadium, kuna uwanja wa Ali Hassan mwinyi, sasa mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni JMK BRIDGE ina make sense kabisa.
Hii ni sawa nakusema mtoto wa mfalme ndiye atakaye kuwa mfalme baada ya baba yake... hivi ufalme ni cheo cha kutoka mbinguni au kujipachika tu. Basi hata mwanangu anastahili kuwa mfalme baada ya mfalme. Kigamboni ilikuwa na watu mashuhuri kabla na baada ya Nyerere. Hivyo tafuteni jina lolote la mpigania haki za binadamu kutoka kigamboni. Au hata New kigamboni bridge inafaa.thanks
Nauliza swali...Kule USA kuna mnara wa Washington, Jimbo la Washington-Seattle, Jimbo kuu la Washington (Makao Makuu Ya Nchi),Mitaa kibao majimboni,Shule za Msingi,Sekondari na Vyuo Mbalimbali vya Washington,mfano University of Washington,Washington University na kadhalika. Sasa kwani alijenga George Washington?...Je, hakuna wapigania uhuru wengine waliohusika,Weusi(Blacks) kwa wengine waliohusika?....Basi, na hapa kandanda ni ile ile!...Tunakubaliana na yote yaliyoamriwa na kupangwa na Serikali hii kwa sasa!...Ndugu yenu
Wakati wa uhai wake nyerere amejenga nini? Sifa mnazompa kila siku ni kiswahili,ukabila,amani na haya yote ni majaliwa ya m/mungu jamaa hana lolote ndio aliyetuchimbia hili shimo tunalo jaribu kutoka no no no no kigamboni bridge baby
Labda wewe hujui?..Na huijui vizuri Historia ya Tanzania!..Nakushauri kama hujui ulizia ufundishwe husiyoyajua. Mfano, kama hujui somo la Jiografia..waulize walimu wa somo hilo wewe mwanafunzi. osema,Pia umeongea kidogo uliyodokezewa ulivyosema, "Sifa mnazompa kila siku ni kiswahili,ukabila,amani"..Nafikiri hata uliyotaja ni gharama sana kuyajenga zaidi ya hilo Daraja unalopigia kelele. Je, na wewe umejenga nini mpaka sasa kwenye nchi yako angalau kuonyesha mfano?..Nyerere wakati wa Uhai wake, ameijenga nchi ya Tanzania toka tulipokuwepo wakati wa Ukoloni mpaka mwaka 1984 alipostaafu. Sasa kama hujui..ingia darasani. Au jaribu kidogo kufanya yale uliyoyatamka!..Hata watu wa nchi nyingine nao wanajaribu kutoka kwenye shimo hilo hilo wanalojaribu kutoka!...Ndugu yenu Anonymous
....Maria Nyerere atembelea daraja la Kigamboni.... Mama Maria Nyerere, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, akiwa na mwanae Mhe. Makongoro Nyerere na msaidizi wake akifurahia mandhari wakati walipotembelea Daraja la Nyerere Kigamboni jijini Dar es salaam leo. Mama Maria, ambae hakujali mvua kubwa iliyokuwa inanyesha, alionekana mwenye furaha kufika darajani hapo kwani ndoto ya miaka mingi iliyoanzishwa na hayati mumewe imetimia. Pia alimshukuru sana Dkt John Pombe... Amenena... Anonymous
Kwani kajenga yeye nyerere ??lilitaliwa liitwe jakaya bridge hovyo kabisa
ReplyDeleteNO Nyerere!.KIKWETE BRIDGE lingefaa zaidi.sababu serekali yake ndio imejenga hilo daraja pia kumuenzi kwa mazuri yake.
ReplyDeletesio kila kitu Nyerere tu kwa nini lisiitwe moja ya wapigania uhuru wengine au nchii hii haina watu wa kukumbukwa zaidi ya nyerere
ReplyDeleteApewe mpigania uhuru mwingine sio kila kitu Nyerere tuu kwani hakuna watu wengine wa kukumbukwa au ndio (a country without heroes?)
ReplyDeleteKuna bara bara ya mwalimu nyerere, uwanja wa ndege, wa mpira pia. Hili daraja lipewe jina lingine.
ReplyDeleteLiitwe hivyo hivyo kigamboni bridge
ReplyDeleteNO lisiitwe Nyerere libakie kuitwa hivyo hivyo Kigamboni bridge
ReplyDeleteYes👍
ReplyDeleteLIITWE NYERERE BRIDGE.
ReplyDeleteTayari kuna uwanja wa Julius nyerere airport,vile vile kuna Benjamin Mkapa Stadium, kuna uwanja wa Ali Hassan mwinyi, sasa mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni JMK BRIDGE ina make sense kabisa.
ReplyDeleteKila kitu Nyerere. Tubadilike. Kwani hawakumwona wala kumfikiria JEMBE Marehemu SOKOINE. Lingepewa Sokoine briddge walau!! Napita tu.
ReplyDeleteHii ni sawa nakusema mtoto wa mfalme ndiye atakaye kuwa mfalme baada ya baba yake... hivi ufalme ni cheo cha kutoka mbinguni au kujipachika tu. Basi hata mwanangu anastahili kuwa mfalme baada ya mfalme. Kigamboni ilikuwa na watu mashuhuri kabla na baada ya Nyerere. Hivyo tafuteni jina lolote la mpigania haki za binadamu kutoka kigamboni. Au hata New kigamboni bridge inafaa.thanks
ReplyDeleteNauliza swali...Kule USA kuna mnara wa Washington, Jimbo la Washington-Seattle, Jimbo kuu la Washington (Makao Makuu Ya Nchi),Mitaa kibao majimboni,Shule za Msingi,Sekondari na Vyuo Mbalimbali vya Washington,mfano University of Washington,Washington University na kadhalika. Sasa kwani alijenga George Washington?...Je, hakuna wapigania uhuru wengine waliohusika,Weusi(Blacks) kwa wengine waliohusika?....Basi, na hapa kandanda ni ile ile!...Tunakubaliana na yote yaliyoamriwa na kupangwa na Serikali hii kwa sasa!...Ndugu yenu
ReplyDeleteWakati wa uhai wake nyerere amejenga nini? Sifa mnazompa kila siku ni kiswahili,ukabila,amani na haya yote ni majaliwa ya m/mungu jamaa hana lolote ndio aliyetuchimbia hili shimo tunalo jaribu kutoka no no no no kigamboni bridge baby
ReplyDeleteLabda wewe hujui?..Na huijui vizuri Historia ya Tanzania!..Nakushauri kama hujui ulizia ufundishwe husiyoyajua. Mfano, kama hujui somo la Jiografia..waulize walimu wa somo hilo wewe mwanafunzi. osema,Pia umeongea kidogo uliyodokezewa ulivyosema, "Sifa mnazompa kila siku ni kiswahili,ukabila,amani"..Nafikiri hata uliyotaja ni gharama sana kuyajenga zaidi ya hilo Daraja unalopigia kelele. Je, na wewe umejenga nini mpaka sasa kwenye nchi yako angalau kuonyesha mfano?..Nyerere wakati wa Uhai wake, ameijenga nchi ya Tanzania toka tulipokuwepo wakati wa Ukoloni mpaka mwaka 1984 alipostaafu. Sasa kama hujui..ingia darasani. Au jaribu kidogo kufanya yale uliyoyatamka!..Hata watu wa nchi nyingine nao wanajaribu kutoka kwenye shimo hilo hilo wanalojaribu kutoka!...Ndugu yenu Anonymous
ReplyDelete....Maria Nyerere atembelea daraja la Kigamboni....
ReplyDeleteMama Maria Nyerere, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, akiwa na mwanae Mhe. Makongoro Nyerere na msaidizi wake akifurahia mandhari wakati walipotembelea Daraja la Nyerere Kigamboni jijini Dar es salaam leo.
Mama Maria, ambae hakujali mvua kubwa iliyokuwa inanyesha, alionekana mwenye furaha kufika darajani hapo kwani ndoto ya miaka mingi iliyoanzishwa na hayati mumewe imetimia. Pia alimshukuru sana Dkt John Pombe...
Amenena... Anonymous