ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 18, 2016

TAARIFA YA MSIBA


Dada yetu Rebecca Ndekeja anasikitika kutangaza msiba wa Mama yake Mzazi kilichotokea Tarehe
18/4/2016 huko Mwanza Tanzania, Mipango ya mazishi inaendelea huko Mwanza Tanzania. 


Msiba upo nyumbani kwa Rebecca, 
2901 Arundel Rd #2
Mount Rainier MD 20712.



Kwa taarifa zaidi wasiliana na,

Rebecca Ndekeja 2024360126
Yasin Matola.  2024318262
Saidi Mwamende 3019964029
Ben Mwaipaja 2026297334



BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.

No comments: