Friday, April 22, 2016

USIKU WA VITA 🌘 THE WEEKEND MIDNIGHT BATTLE 🌘

Wakati tunaendelea kuomboleza kifo cha kikatili cha Kijana mwenzetu, Mdogo wetu, Mtoto wetu, ANDREW SANGA.
Pamoja na Kifo kilicho mpata HENRY KIHERILE.
Sisi vijana, Kina Dada, Wazee na Kinamama pande zote za USA.
Tunatangaza usiku wa Ijumaa kuwa ni"USIKU WAVITA". Enough is enough for the devil
Ungana nasi kwenye maombi ya Kukesha ya kila Usiku wa Ijumaa,
Yatakayo anza leo Friday.
●Time : 10:00 pm to 7: am
● Eastern Standard Time (EST)
Prayer line👇🏾
DIAL Number: 
218-548-2987
Access  Code: 912280 #.
●(Matthew 13:25)
● Remember: If you are on your way to a special Party at that weekend Night, you are covered by the blood of Jesus.
●1 Thessalonians 5:6-7
● You are at the Club, you will be covered.
●Traveling for that Friday night, you are covered.
Any situation happening at that Friday night, call that number we will  pray together.
Tunaomba utume huu jumbe wa USIKU WA VITA kwenye Group yako, na  watu wote,..Jumuika nasi hata kwa saa moja, kwa saa yoyote utakayo taka.. Uone Mungu anavyo pigana hii Vita.
Ubarikiwe.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake