. Mgeni rasmi Kamishna wa Fedha na Utawala wa Magereza, Gaston Sanga akitoa cheti kwa mwanafunzi mhitimu wa kidato cha sita katika mahafali ya kwanza ya kidato cha sita Bwawani Sekondari, yaliyofanyika leo Aprili 22, 2016.(Picha zote na lucas mboje wa Jeshi la Magereza).
Mkuu wa shule ya Bwawani Sekondari, ACP. Emmanuel Lwinga akitoa maelezo mafupi ya maendeleo ya shule kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kutoa hotuba yake
Wanafunzi wahitimu wa Kidato cha sita Bwawani Sekondari wakiimba wimbo wa shule kwenye mahafali hayo yaliyofanyika leo Aprili 22, 2016, Mkoani Pwani.
Kamishna wa Utawala na Fedha, Gaston Sanga akiwasalimu wahitimu na wazazi kabla ya kutoa hotuba fupi kwa wahitimu wa kidato cha sita Bwawani Sekondari(hawapo pichani).
Wazazi wa wahitimu wa kidato cha sita shule ya Bwawani Sekondari wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mgeni rasmi.
Ujenzi wa Bweni la Wasichana katika shule ya Bwawani Sekondari ukiwa katika hatua mbalimbali za ujenzi kama inavyoonekana katika picha.
Mgeni rasmi Kamishna wa Fedha na Utawala wa Magereza, Gaston Sanga(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wahitimu kidato cha sita Bwawani Sekondari(waliosimama mstari wa nyuma)mahafali hayo yamefanyika leo Aprili 22, 2016(
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake