ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 22, 2016

WAZIRI UMMY MWALIMU AWASIMAMISHA WATENDAJI WA NHIF KWA UBADHIRIFU WA FEDHA

IMG_0724
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu (pichani) amewasimamisha kazi kupisha uchunguzi kwa watendaji Wakuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa ubadhirifu wa fedha za mfuko huo kwa Mkoa wa Mara.
New Doc 1_1 (1)New Doc 1_2

1 comment:

Anonymous said...

Hawa ndio mafisadi bunge letu lilitakiwa kuwajadili na wako wengi sana sasa hatuoni mada ya kwenda kumzungumzia Lowasa bungeni ni jambo lisiloleta jadi. Alishasema mwenye nacho alete mbele kionekanike hakuna aliyeleta hadi leo, wakati mnachuma mafisadi humo humo mwenye chama yetu, hii ni aibu kwa bunge la awamu hiii>.