ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 28, 2016

AFRICA DAY ANNUAL GALA DINNER JW MARIOTT HOTEL, WASHINGTON, DC


Kushoto ni Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Wilson Masilingi akibadilishana mawazo na Balozi wa Rwanda nchini Marekani Mhe. Prof. Mathilde Mukantabana siku ya Ijumaa May 27, 2016 kwenye maadhimisho ya siku ya Umoja wa Afrika iliyofanyika katika hoteli ya JW Mariott Washington, DC. Picha na Vijimambo/Kwanza Production

Kutoka kushoto ni Balozi wa Lesotho nchini Marekani Mhe. Prof. Eliachim Molapi Sebatane, Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi, Balozi wa Rwanda nchini Marekani Mhe. Prof. Mathilde Mukantabana na Mke wa Balozi wa Ethiopia nchini Marekani Mama Biru wakiongea mawili matatu walipokua kwenye mchapalo kabla ya Gala dinner kuanza.

Kutoka kushoto ni mtangazaji wa FOX NEWS Bi.Maureen Umeh, Mke wa Mhe. Balozi wa Tanzaniani nchini Marekani, Marystela Masilingi na Mhe. Balozi Masilingi wakiwa katika picha ya pamoja.

Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi, mkewe Marystela Masilingi, Mama Birru na mumewe Balozi wa Ethiopia nchini Marekani Mhe. Girma Birru wakiongea jambo.

Baadhi ya mabalozi wa Afrika nchini Marekani wakiwa katika picha ya pamoja.

Balozi wa Benini nchini Marekani Mhe. Omar Arouna akifungua siku ya Umoja wa Afrika iliyofanyika JW Mariott Washington, DC.

Balozi wa Niger nchini Marekani Mhe. Hassana Alidou akitoa hotuba iliyobeba ujumbe wa Umoja wa Afrika siku ya Ijumaa May 27, 2016 siku umoja huo ulipoadhimisha siku ya Afrika.

Mchungaji Jesse Jackson akitoa hotuba yake.
 
Mwakilishi kutoka serikali ya Marekani akisoma salamu za Marekani kwa Umoja wa Afrika.

Mhe. Johnnetta B. Cole ndiye aliyekua mzungumzaji mkuu wa Siku ya Afrika iliyofanyika siku ya Ijumaa May 27, 2016 JW Mariott Washington, DC.
Balozi wa Congo nchini Marekani Mhe. Serge Mombuouli atitoa salamu kutoka Umoja wa Mabalozi wa Afrika nchini Marekani.
Balozi Wilson Masilingi na mkewe Marystela Masilingi.

Nyimbo za Taifa ya Marekani na Umoja wa Afrika.

Washereheshaji wa siku ya Afrika kutoka kushoto Vicent Makori, mtangazaji Voice of America na Mareen Uheh mtangazaji kituo cha luninga cha FOX NEWS.




































 



Ubalozi wa Misri













 



Bendi ya Jomion and The Uklos kutoka Benin ikitoa burudani.

msani Anna Mwalagho kutoka Keya akifanya vitu vyake.

Anna Mawalagho akiwa katika picha ya pamoja na waheshimiwa.

Msanii wa siku nyingi kutoka Ivory Coast MeiWay akitoa burudani
Meiway akiwatoa jasho mashabiki wake.
Mashabiki wakipagawa na msanii Meiway

Vibanda vya wajasiliamali.

Wajasiliamali

Wajasiliamali

Wajasiliamali

Wajasiliamali

Wajasiliamali

Wajasiliamali

Wajasiliamali

Wajasiliamali

Wajasiliamali

Wajasiliamali
 Wajasiliamali

No comments: