Sisi vijana, Kina Dada, Wazee na Kinamama pande zote za USA.
Tunatangaza usiku wa Ijumaa kuwa ni"USIKU WA VITA". Enough is enough for the devil,
Tunatangaza usiku wa Ijumaa kuwa ni"USIKU WA VITA". Enough is enough for the devil,
Waefeso 6:12
Ungana nasi tena kwenye maombi ya Kukesha ya kila Usiku wa Ijumaa,
Kupambana na Kuharibu, Kutegua Kazi zote za Shetani anazo ziandaa kila Usiku wa Weekends dhidi ya Jumuia zetu, Familia zetu .
Maombi yanaanza kila Ijumaa
●Time : 11:00 pm to 5: am
● USA-Eastern Standard Time (EST)
Prayer line🏾
DIAL Number: 218-548-2987 - Access Code: 912280 #.
●Time : 11:00 pm to 5: am
● USA-Eastern Standard Time (EST)
Prayer line🏾
DIAL Number: 218-548-2987 - Access Code: 912280 #.
● Kumbuka Uwe mahali popote Usiku huu wa Weekend, Dam ya Yesu Ikufunike.
Ukiwa kitandani kwako kabla hujafunikwa na Usingizi, au Unajiandaa kwenda kwenye Party yeyote Usiku wa Weekend hii, Tafadhari, Jumuika nasi hata kwa saa moja, kwa saa yoyote utakayo taka.. Uone Mungu anavyo kupigania katika vita vyako dhidi ya Shetani
Ubarikiwe.
Ubarikiwe.
Tuma huu ujumbe wa USIKU WA VITA kwenye Group yako.
No comments:
Post a Comment