ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 12, 2016

Wimbo mpya wa Alikiba ft M.I kutoka Nigeria ‘Aje’ unaosambaa mitandaoni


Wimbo mpya wa Alikiba amemshirikisha rapper MI kutoka Nigeria, Wimbo unaitwa “Aje”. Katika wimbo huu katajwa Wema Sepetu na Lulu Micheals. M.I kaimba Kiswahili. Jitiririshe hapa chini kwa kugonga soma zaidi.

1 comment:

Anonymous said...

Wimbo ni mtamuuuuuuu ile kinoma haswa, Nimeurudia rudia zaidi ya mara 10 hapa daaaah🤔