ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 2, 2016

KONGAMANO LA JUMUIYA YA VIJANA WA KIISLAM LAFANYIKA JIJINI DAR KUUKARIBISHA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN

 Imam Qasim Ibn Khan kutoka nchini Marekani akiongea na jumuiya ya vijana wa kiislam vyuo vikuu  mikoa ya Pwani, Morogoro na Dar es Salaam katika kongamano maalum la kukaribisha mwezi Mtukufu wa Ramadhan lililofanyika jana jijini Dar es Salaam.
 Imam Qasim Ibn Khan kutoka nchini Marekani akisisitiza jambo kwa vijana waliopo katika umoja wa wanafunzi wa kiislam wa vyuo vikuu (hawapo pichani) wakati wa kongamano la vijana la kukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
  Vijana wa TAMSYA mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es Salaam wakisikiliza kwa makini mafundisho kutoka kwa mtoa mada mkuu wa kongamano la vijana Imam Qasim Ibn Khan(hayupo pichani) wakati wa kongamano hilo lililofanyika jana
  Vijana wa TAMSYA mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es Salaam wakisikiliza kwa makini mafundisho kutoka kwa mtoa mada mkuu wa kongamano la vijana Imam Qasim Ibn Khan(hayupo pichani) wakati wa kongamano hilo lililofanyika jana
 Imam Qasim Ibn Khan kutoka nchini Marekani akitoa mada kwa vijana waliopo katika umoja wa wanafunzi wa kiislam wa vyuo vikuu (hawapo pichani) wakati wa kongamano la vijana la kukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. 
  Vijana wa TAMSYA mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es Salaam wakimsikiliza kwa makini Imam Qasim Ibn Khan alipokuwa akitoa mafundisho mbalimbali kuhusiana na dini ya kiislam katika kongamano la vijana lililofanyika jana

1 comment:

Anonymous said...

masha Allah .shukran sana imam qassim ibni khan kwa kuja Tanzania.may Allah bless you so much.this is the way muslim should be.nawatakia waislamu wote mfungo mwema wenye kheir na muwe wajaa wema si ramadhani tu bali kila siku.in shaa.Allah .amin.

dj luke thanks man for this story and pictures god bless you and all vijimambo team.