ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 1, 2016

Kwa mtoko mmoja wema anavaa vitu vya milioni2, jionee hapa

2 comments:

Anonymous said...

Sasa million mbili ndiyo nini? si dollar 1000 tuu? akawaulize akina Kim Kardashian wanavaa vitu vya bei gani. Tuwekee ni habari za maana hapa. Hayo mavazi yake cheap/ gharama yanatusaidia nini Watanzania. Mavazi si maendeleo. Atuonyeshe ameajiri watanzania wangapi . Tuache ushamba.

Anonymous said...

Kwahiyo tufanyeje sasa?