Wabunge wa Upinzani wakitoka Bungeni baada ya dua kusomwa na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson Juni 16, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Wageni waliofika Bungeni mjini Dodoma kujionea shughuli mbalimbali za bunge wakifuatilia kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu Juni 16, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Nkansi Kaskazini, Ally Kessy bungeni mjini Dodoma Juni16, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa zamani wa Singida mjini , Mohammed Dewji kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 16, 2016.
No comments:
Post a Comment