Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa akitoa hotuba ya ufunguzi wa kongamano la uwekezaji lilo andaliwa
na jumuiya ya Dowoodi Bohora lililo fanyika hapa nchini katika ukumbi wa
mwalimu Nyere jijini Dar ess salam linalo lenga kutangaza fursa za uwekezaji
Tanzania kongamano hilo liliuhudhuriwa
na wafanya biashara sekta mbali mbali kutoka zaidi ya nchi 40 duniani. (Picha na Chris Mfinanga)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea shukurani kutoka kwa
mwakilishi wa Shehe mkuu wa Bohara
kutoka Mumbai Shehe Badrul Jamali baada ya kufungua kongamano la
uwekezaji lililo andaliwa na Jumuiya ya Dawoodi Bohora linalo elezea furusa za
uwekezaji nchini Tanzania kushoto ni Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Chales Mwijage Kongamano hilo lilihudhiriwa na Bohara zaidi
ya mianne wasekta mbalimbali kutoka zaidi ya Nnchi 40 kongamano hilo
limefanyika katika ukumbi wa mikutano Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es
salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na mwakilishi wa
Shehe mkuu wa Bohora kutoka Mumbai Shehe Badrul Jamal katikati ni muandaaji wa
kongamano la wafanya biashara wa Dhehebu la Dawood Bohora Bwana Mustafa Asnali
kongamano hilo lilikuwa likielezea furusa za uwekezaji zilizopo Tanzania.
No comments:
Post a Comment