ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 23, 2016

HAPPY BIRTHDAY TO YOU BEREKET


Bereket kenyatta Mayanga akiwa na msanii wa bongo flava anae kimbiza duniani Diamond Platnumz uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia siku msanii huyo alipokua transit akitokea Dallas, Texas.

No comments: