ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 29, 2016

Ibada ya pamoja wakatoliki waTanzania na WaKenya DMV.

Image result for MISA DMV
Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahili. Ibada hii itashirikisha waumini wa Jumuiya ya Wa Kenya na Tanzania waishio DMV na jirani. Ni ibada ya kumaliza mwaka 2016 na kuingia mwaka mpya wa 2017.

Ibada hii itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la Mt. Mathews. (St. Mathews Catholic Church).

5401 Loch Raven Blvd,
Baltimore, Maryland 21239.

Jumapili Tarehe 8 January 2017
Saa nane kamili mchana (2:00 PM).
Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha
ndugu, marafiki na jamaa zako.

Unaweza pia kujiunga kwa mawasiliano ya barua pepe anwani.
WauminiWakatoliki@gmail.com

Kwa niaba ya Fr. Honest Munish na Jumuiya waumini katoliki TZ.
Katibu Tibruss Minja.

No comments: