| Mr and Mrs Makalla kwenye picha ya pamoja na baadhi ya marafiki. |
| Mr Makalla a.k.a Kapuya akiweka mambo sawa |
| Maongezi na vinjwaji vikiendelea |
| Mr Makalla na some friends Charles, Gregory, na Evans |
| Kaka Evans akifanya mambo yake |
| Mr Makalla na wageni zake wakipata kinywaji |
| Baba mchungaji kutoka Moshi (mwenye njano) alikuwepo kubariki shughuli hii |
| Wakaka wa Atlanta |
| Maandalizi yakiendelea nje |
| Matayarisho ya mbuzi choma tayari kuliwa |
| Vinywaji vya kila aina vilikuwepo |
| Kaka Peter akifurahia jambo |
| Muda wa kupata menuzzzz |
| Liganga akitupia jicho msosi huku akitabasamu |
| Msosi umetulia (Yummy) |
| Agnes makalla a.k.a mama Rachel na Liganga |
| May and her babe |
| Maongezi yakiendelea |
| Jamilaaaaa (in Bro Peter voice) na Tee |
| May na Salama |
| Rachel hakuwa nyuma kupata menu yake |
| Raha tupu |
| Charles akimpa muongozo mtoto wa Evans katika kucheza na mpira |
| Baba mwenye nyumba nae alifanya yake |
| Furaha ilitawala kila upande |
| Agnes katika matayarisho ya soup ya mbuzi |
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake