Mwimbaji wa nyimbo za Injili jijini Mbeya, Aman Mwasote (kulia), akiwa na wakili wake, Sambwee Shitamba anayemtetea katika kesi ya kutuhumiwa kumwita mchawi mtoto wa kike (9) jina linahifadhiwa wakati akiwa kwenye mkutano wa injili wakiwa nje ya Mahakama ya Wilaya Mbeya. (Picha na Kenneth Ngelesi)


No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake