ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 18, 2017

BALOZI WA TANZANIA NCHINI ITALIA MH. GEORGE KAHEMA MADAFA AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA ITALIA MH. SERGIO MATTARELLA

Balozi wa Tanzania nchini Italia, Mhe. George Kahema Madafa (kushoto), akikabidhi barua yake ya utambulisho kwa Rais wa Italia, Mhe. Sergio Mattarella kwenye ikulu ya nchi hiyo hivi karibuni.
Balozi wa Tanzania nchini Italia, Mhe. George Kahema Madafa (kushoto), akipeana mikono na Rais wa Italia, Mhe. Sergio Mattarella kwenye ikulu ya nchi hiyo hivi karibuni.
Balozi Madafa akikaribishwa na Rais 
Mattarella
Wakiw
a katika mazungumzo

No comments: