ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 19, 2017

HAI: Nyumba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya Yatekekezwa kwa Moto Usiku

KILIMANJARO: Nyumba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai, Dkt. Amini Uronu imechomwa moto usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana.

Mtoto wa Mwenyekiti huyo amesema kuwa Wazazi wake wote wamelazwa baada ya kapata madhara kiasi katika miili yao.

GPL

No comments: