ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 19, 2017

SHUKRANI ZA DHATI

" Tunapenda kutoa shukurani za dhati kabisa kutoka moyoni mwetu kwa wale wote walioshiriki kwa namna moja au nyengine katika kumuuguza na mpaka kumzika baba yetu, ndugu yetu, rafiki yetu, mwenzetu, mpendwa wetu sk Farid Zaharan Salim wa Northampton, England. Kilicho tokea huko Northampton tarehe 13/06/2017, na kuzikwa huko huko Northampton 15/06/2017.

Allah amrehem na amlaze mahali pema peponi.... Ameen "

Wanafamilia

Shukran

No comments: