Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson akiongoza kikao cha sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.George Masaju akisoma maelezo ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali wa mwaka 2017 katika kikao sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe.Eng Stella Manyanya akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
Viongozi na wachezaji wa timu ya Singida United wakiwa wakifuatilia mijadala ya bunge katika kikao cha sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA
No comments:
Post a Comment