ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 7, 2017

PICHA: YALIYOJIRI KWENYE SHOO YA MIAKA 15 YA SAIDA KAROLI


Muimbaji wa nyimbo za asili nchini Tanzania, Saida Karoli usiku wa kuamkia leo amefanikiwa kukusanya umati wa watanzania waliyokuwa wamemkumbuka kwa muda mrefu tangu alipopote kwenye gemu ya muziki wake. Show ya miaka 15 ya muziki wa Saida Karoli ilifanyika katika ufukwe wa Escape OneMikocheni Dar es salaam.







No comments: