ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 8, 2017

VIDEO:WAKAZI WA HALIMASHAURI YA MADABA WAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI.

Wakazi wa kijiji cha MWANDE ,KATA ya MATETELEKA haliamshauri ya MADABA mkoani RUVUMA , wameungana na rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania JOHN MAGUFULI la kupinga wanafunzi watakao pata mimba wasilirudi tena shule badala yake wafanye shughuli nyingine za kimaendeleo hata kujiunga na vyuo vya ufundi veta.

No comments: