ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 16, 2017

TARIFA YA KISOMO DMV LEO JUMAMOSI

Familia ya Sakapala inawataarifu kisomo cha baba yao mpenzi Marehemu Mzee Kessy Sakapala (Baba yake Mzazi Abuu na Ummi Sakapala wa hapa DMV) kitakachofanyika siku ya Jumamosi Sept. 16, 2017 kuanzia saa Kumi na Moja na Nusu Jioni (5:30pm) hadi saa Mbili Usiku (8:00pm).

Glenmont Local Park
3201 Randolph Rd 
Wheaton, MD 20906.

Kwa mawasiliano ya chochote unaweza kuwasiliana
Danny Kaswamila 3017688947
Abuu Sakapala 2024804848
Masika Boas 5712347035
Ikota Kauga 2409880359
Nakie Mvungi 2405352961
Zawadi Sakapala-Ukondwa 3013792342

No comments: