Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongozaa kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, cha Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Wakurugenzi wa Idara zilizokatika Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji wakiwa kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe. Balozi Ali Abeid Karume (katikati) alipowasilisha Muhtasari wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, wakati wa kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wengine ni Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa BLM Nd,Salum Maulid Salum(kulia) na Naibu wa Wizara hiyo Mhe.Mohamed Ahmed Salum
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba Zanzibar Bi.Riziki Jecha Salim (kulia) alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu Idara yake wakati wa kikao cha siku moja Uongozi wa Wizara hiyo cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017,kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa BLM,pia Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi Nd,Salum Maulid Salum (wa pili kulia) alipokuwa akichangia wakati wa kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, cha Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia),akiwepo na Waziri Balozi Ali Abeid Karume na Naibu wake Mohamed Ahmed Salum (kushoto).(Picha na Ikulu).
No comments:
Post a Comment