Spika wa Bunge na Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Watendaji mbalimbali wa halmshauri ya wilaya ya Kongwa katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake kongwa Mjini Dodoma.
Watendaji mbalimbali kutoka halmashauri ya wilaya ya Kongwa wakimsikiliza Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) wakati wa kikao cha pamoja kilichofanyika leo katika ofisi ya Mbunge (Spika wa Bunge) wilayani Kongwa Mkoani Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment